Please turn JavaScript on

MICHUZI BLOG

Following MICHUZI BLOG's news feed is very easy. Subscribe using the "follow" button on the top right and if you want to, choose the updates by topic or tag.

We will deliver them to your inbox, your phone, or you can use follow.it like your own online RSS reader. You can unsubscribe whenever you want with one click.

Keep up to date with MICHUZI BLOG!

MICHUZI BLOG: MICHUZI BLOG

Is this your feed? Claim it!

Publisher:  Unclaimed!
Message frequency:  22.93 / day

Message History




Meneja wa PSSSF kanda ya ...

Read full story

Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Zainab Khamis Shomari, ameahidi kutumia nafasi yake ya uongozi kutetea na kuwawezesha wanawake kiuchumi ili waweze kujikwamua kupitia shughuli binafsi na vikundi vya ujasiriamali.

Ametoa ahadi hiyo Novemba 19, 2026, wakati akizungumza na wajasiriamali pamoja na wanachama wa CCM na UWT katika Wilaya ya Mic...


Read full story

Na Mwandishi Wetu, WMTH – Singapore.

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb), ametoa wito wa kuimarisha uwekezaji katika miundombinu ya kidijitali barani Afrika kupitia ushirikiano kati ya nchi za Afrika na Asia ili kuharakisha ukuaji wa uchumi.

Wito huo umetolewa katika Mazungumzo ya Uwekezaji wa Miundombinu kati y...


Read full story
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ametembelea banda la Benki ya NMB katika Mkutano wa Madini na Uwekezaji Tanzania 2026, ambapo ameelezwa kuhusu fursa za kifedha zinazotolewa na benki hiyo kwa wachimbaji na wadau wengine wa sekta ya madini.

Katika ziara hiyo iliyofanyika kwenye Kitu...

Read full story
Na Said Mwishehe,Michuzi TV


SERIKALI imesema dhamira yake ni kutokomeza UKIMWI kama tishio la afya ya umma ifikapo mwaka 2030, huku ikiwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Profesq Palamagamba Kabudi, ...

Read full story